Saturday, March 2, 2019

ELMES CONSULTANCY SOLUTIONS

Habari yako ndugu msomaji wa jarida lako pendwa kabisa la ELCONSULTANCY.BLOGSPOT.COM, Hii ni blog inayolenga kumuinua MTANZANIA Mmoja mmoja hasa kijana kwa kumsaidia kujenga fikra, kutumia fursa pamoja na kujitambua hasa kujua kipaji chako.

Pia Tutajikita katika nyanja KUU zifuatazo:-

1. Kukusaidia kulinda thamani ya pesa yako kwa kukuelekeza na kutambulisha kwako bidhaaa bora zinazoendana na thamani ya pesa yako,
2. Kukusaidia katika masuala ya utafiti yaani "RESEARCH CONSULTANCY"
3. Kukusaidia kuandaa "BUSINESS PLAN'S" Yaani MIPANGO YA BIASHARA"
4. Matumizi ya MUDA
5. "ARTICLE" Vifungu mbalimbali vyenye kukufundisha kuzitambua nyanja zote za maisha hasa Siasa, Uchumi na Utamaduni.
6. Utapata "USHAURI WA UJENZI" Yaani "CONSTRUCTION CONSULTANCY" Utashauriwa kuhusu miundo, mwonekano yaani FINISHING Pamoja na material zote unazotakiwa kutumia wakati wa ujenzi yaani materiali za kisasa na imara.


karibu sana, Tembelea mala kwa mala blog hii uweze kujifunza mengi, Ahsante.

TUTAFUTE KUPITIA 
Phone: 0765117557
           au
Email: messifredrick@gmail.com

No comments:

Post a Comment